Tayari Kinondoni Talent star Search 2015 imefanikiwa kuwapata washindi, Tazama picha zaidi ya 60

na braiton joseph (TONY TZ)

Tayari Kinondoni  Talent  Search imefanikiwa kuwapata vijana iliyo kuwa inawatafuta ambao ndio washindi kutoka katika nyanja tatu
sa sanaa yaani Mwimbaji, Mchekeshaji na Mchezaji, sehemu zote tatu alichomolewa mshindi mmoja mmoja na kujibebea milioni 5 za kitanzania. Ila tambua kuwa wazo hilo lilitolewa na kusimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, DC Paul Makonda, hatimaye vijana wakajitokeza kwa wingi kushiriki, ukapita mchujo mpaka kupatikana wachache ambao wamegusa stage ya fainali.Washindi wa kudance, kuimba na kuchekesha tayari wamepatikana na hapa ninaanza kukusogezea pichaz mwanzo mwisho ilivyokuwa kwenye Fainali hizo, Mgeni Rasimi alikuwa.
 Huyo Dada hapo katikati ndiye aliyeibuka na ushindi kwenye kitengo cha Kuimba                                             Kwenye picha ni mshindi wa Vichekesho


                               Mwenye koti ndio aliye shinda kwenye kitengo cha uchekeshaji
 Huyo jamaa hapo katikati mwenye kofia ndiye akiye ibuka na ushindi kwenye kipengele cha kudance Kinondoni Talent Search
 Wakwanza kulia ni Jaji Zembwela, anaye fuata ni Jaji Peter Msechu, anaye fuata Jaji Kajala Masanja,na mwisho ni Msami
 Kwnye picha hapo juu ni Mc wa Kinondoni Talent Search maarufu kwa jina la Mpoki wa Zecomedy
                                      Pichani ni Mrisho mpoto maarufu kwa jina la Mjomba
    Huyo hapo juu ni mwigizaji  maarufu anajulikana kama Bimwenda hapo niwakati akifanyiwa mahojiano na wana habari kwenye Red Carpet
     Huyo hapo juu ni mwigizaji  maarufu anajulikana kama Irene Uwoya hapo niwakati akifanyiwa mahojiano na wana habari kwenye Red Carpet


                  Hapa niwakati Mrisho Mpoto akicheza ngoma ya asili kabla ya shindano kuanza


                                        Lemutuz akihojiwa na wanahabari kwenye Red Carpet


No comments:

Post a Comment