AJALI KUBWA IMETOKEA USIKU HUU KATI YA COSTER NA LORI BONYEZA HAPA UPATE HABARI KAMILI.

WATU KADHAA AMBAO IDADI YAO BADO HAIJAFAHAMIKA WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILITOKEA ENEO LA LUSANGA USIKU HUU.

habari zilizotufikia muda huu TOKA ktk chumba chetu cha habari hapa TNEWSTZ zinasema, watu kadhaa wanasadikiwa KUPOTEZA Maisha Kufuatia ajali mbaya iliyotokea usiku huu katika eneo la LUSANGA, MUHEZA mkoani Tanga
AJALI hiyo imehusisha gari la abiria aina ya coster na lori Taarifa kutoka Muheza zinasema inasemekana 
Waliofariki ni watu 4, wanawake 2 na wanaume 2,
Majeruhi 15 
tutaendelea kuwapa taarifa zaidi

Lori la mafuta lililolipuka Kenya na kusababisha vifo

Taarifa iliyotolewa mapema leo December 11 2016 asubuhi na msemaji wa idara ya taifa ya mambo ya dharura nchini Kenya Pius Masai amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kwamba magari zaidi ya 11 yameteketezwa kwa moto katika barabara ya Nairobi-Naivasha.
Maafisa kutoka wizara ya usafirishaji wakiongozwa na Katibu mkuu wa wizara hiyo Irungu Nyakera wamewasili katika eneo la tukio na Taarifa zaidi zinaeleza kuwa watu wengi wamejeruhiwa na miongoni mwao ni watu waliokuwa wakirejea nyumbani kutoka harusini subukia.
Katibu mkuu  Irungu amesema kuwa kwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa ajali hiyo imetokana na dereva kutokufahamu vizuri barabara hiyo kutokana na kwamba lori hilo la mafuta ni la nchini Uganda.

Bofya Hapa usmile na data bundle kutoka smile, Huku ukisikiliza 1fm live.


1fm #kuwa namba1: New Video_Luckson Daniel_ Simama Kwenye Zamu Yako

1fm #kuwa namba1: New song_Muddy ize ft Samiri_Sikuwazii

Karibu upakue bure wimbo mpya wa Muddy ize FT Samiri, Nyimbo ipo katika viwango vya juu zaidi.
Muddy ize ni miongoni ya Wasanii kutoka Morogoro wanaofanya vizuri sana katika mziki kwa asasa.
karibu usikilize na utoe maoni yako kupitia FB Muddy izze, INSTA, @Muddyizze, na Whatsapp Namba 0656-590385.