MGOMBEA Urais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi-CCM JOHN POMBE
MAGUFULI kesho anatarajia kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo katika
ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC.Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi NAPE NNAUYE amesema kuwa Mheshimiwa MAGUFULI katika msafara wake kuelekea NEC ataambatana na mgombea mwenza kutoka Zanzibar mheshimiwa SAMIA SULUHU HASSANI.
No comments:
Post a Comment