Lowassa achukua fomu za kuwania urais

Mgombea wa Nafasi ya Urais Kupitia CHADEMA, Edward Lowassa akikabidhiwa fomu za Urais na Ofisa wa tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, hii leo alipofika kwenye Ofisi hizo Jijini Dar es Salaam.
http://3.bp.blogspot.com/-8TaPPzM2b8w/VcitwGqzGlI/AAAAAAAAXd4/V3nI_OZt6qo/s1600/edo4.jpgPilika pilika za uchaguzi nchini Tanzania zimeendelea hukuEdward Lowassa, ambaye ni mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Chadema na kuungwa mkono na umoja wa vyama vya upinzani nchini humo, UKAWA, akifika ofisi ya Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu ya urais. Lowassa alianadamana na mgombea mwenza Juma Duni Haji pamoja na viongozi wengine waandamizi kutoka vyama mbali mbali vya upinzani. Mwandishi wa TONYTZ.BLOG  BRAITON JOSEPH alikuwepo eneo la tukio
  Umati wa wafuasi wa Chadema uliofika kwenye Ofisi za Tume ya
Uchaguzi ili Kumsindikiza Mgombea wa Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA,

  Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu nae alikuwepo kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais kupitia CHADEMA.

No comments:

Post a Comment