List ya mastaa wa soka Afrika wakiwa na wapenzi wao…(Pichaz)


kapooo
Wanapokua mbali na kazi zao za kila siku kila mtu hupenda kujumuika na familia au ndugu wa karibu kwa ajili ya kubadilishana mawazo, hii pia hujitokeza hata kwa mastaa wengi wa soka iwe Ulaya au Afrika.
Hapa nimekuwekea list ya mastaa wa soka Afrika wakiwa na wapenzi wao:-

kalou
2. Solomon Kalou na mpenzi Najah Wakil
song
3. Alex Song na mpenzi wake Olivia Song
et
4. Samuel Etoo na mke wake Georgette Eto’o
kol
5. Kolo Toure na mke wake Chimene Akassou
dr
6. Diedier Drogba na mke wake Diakité Lalla
marii
7. MacDonald Mariga na mke wake
nadia
8. Nadia na mpenzi wake Michael Essien
asamo
9. Asamoah Gyan na mpenzi wake

No comments:

Post a Comment