2 Shares Wema amjibu Nuh mziwanda – Siwezi kubishana na watoto wadogo ambao nimewazidi sio pesa tu hadi dhambi

Msanii wa Maigizo, Wema sepetu amebuka na kujibu tuhuma za Nuh kuwa amemuharibia penzi lake na
shilole kwa kuamua kuvujia Audio inayosikika akimtongoza, kupitia mtandao wa Instagram, Wema amefunguka
“Naitwa Wema Sepetu na ntabaki kuwa Wema Sepetu… Iam Number One… Sina muda wa kubishana na watoto…Nina muda wa kufanya kazi na kwa sasa jicho langu limeelekea kwa Wanyaturu wangu Singida na kwenye siasa yangu pamoja na kazi zangu za maana bila kusahau entertainment niliokuwa ninayo from 2006 … Kumbe wakati mi nimelala nyie mnaandika Instagram… Ntapata dhambi kugombana na watoto wadogo-ambao nimewazidi sio pesa tu hadi dhambi pia nimewazidi…. Mstafute kick kupitia jina la Wema jamani… Jitume, amka, usibweteke, fanya kazi…. Umarioo mwisho Chalinze maana Dar wote tuna Hustle… Ama nene….… Nimemaliza… Good morning everyone….!!”


Hii ndio Post ya Nuh mziwanda akimshutume Wema kwa kumchafua
Nakupa hongera kwa kufanikiwa kutoa amani katika mapenzi yangu mimi Na zuwena'maana hukua na nia njema wewe pamoja na team yako'na hata kama ingekua kweli ungemfata pembeni zuwena na kumweleza kua bwana ako anantongoza na sauti zake hizi hapa'lakini ukaona sio ishu na kuachia mitandaoni'mradi kuniaibisha mimi pamoja na na huyo unaesema unampenda sana na ni shoga yako'kingine Wema umetongozwa na wangapi hapa duniani kwann usiweke Voic note zao?yani moja kwa moja umetaka kusambalatisha mapenzi yetu na now naona mnaanza kutumana kumtongoza shishi'well madam nakupa salute zako'najua unaishi kwa amani na raha 'ila huku umekiwasha mpka mtu unakua hauna amani ya moyo na ukizingatia sijawahi hata kukaa na ww tukapga stor wala kuona undani wa mwili wangu'kipindi una kampeni uling'ang'ania sana niingie kwenye group yako ya whatsup for supporting you'kumbe unanichekea kinafiki na ulikua na mabomu yako umeyapanga kuyalipua 'sawa mama angu ila mimi nimetoa ya moyoni mwangu kwako na naamini ujumbe utakufikia mana nimeshindwa kukaa na duku duku'sisi wote binadam na hatuna garantee ya kuishi'salute kwako kwa ulichofanya

No comments:

Post a Comment