Waziri wa Nchi,Maendeleo,Biasharana Ushirikiano wa Ireland AKUTANA NA Dk.Ali Mohamed Shein Ikulu Mjini Zanzibar


1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiri wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Nchi Maendeleo,Biashara na Ushirikiano wa Ireland Bw.Sean Sherlock wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.

2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiri wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Nchi Maendeleo,Biashara na Ushirikiano wa Ireland Bw.Sean Sherlock wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.
[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment