Super
Star Wema Sepetu na Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba... walijikuta
wakitokwa na machozi kwa pamoja kwenye uzinduzi wa filamu ya ''Foolish
age''
Baada
ya Wema kuwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City ulipofanyikia uzinduzi
huo... muda kidogo Mama kanumba aliamka nakwenda kumsalimia Wema,
walikumbatiana huku wakitililikwa na machozi zaidi ya dakika mbili...
Wema alichukua pochi yake nakuanza kumtuza Mama Kanumba pesa nyingi sana
zisizokuwa na idadi.
No comments:
Post a Comment