TIMBWILI LA SUGU NA ASKARI WA BUNGE..

 
 
 Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akipambana na askari, Bungeni Mjini Dodoma jana Septemba 5, 2013.
 Sugu (katikati) akitulizwa na Mbunge wa Rombo-Chadema, Joseph Selasini (kulia) nje ya ukumbi wa bunge.
 Mbunge wa Kuteuliwa na Rais kutoka NCCR-MAGEUZI, James Mbatia akiwa amepigwa na butwaa.
 Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai akimwamuru Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kukaa chini, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013.
 Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini, Bungeni Septemba 5, 2013. 
Askari wa bunge wakitaka kumtoa nje Mhe. Freeman Mbowe.
Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini Dododma baada ya kuamriwa kufanya  hivyo na Naibu Spika wa  Bunge, Job Ndugai Septemba 5, 2013.
(Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment