Album ya Jay Z “Magna Carta Holy Grail” ambaye ilitoka mwaka huu
kupitia digital download kwenye simu za Samsung, kwa mara nyingine tena
ime-make headlines kwa kufika platinum sales kwa mara ya pili. RIAA
waliitangaza album hii kufikisha platinum baada ya wiki ya kwanza
ilivyotoka, ikiwa hivi sasa ni miezi miwili imepita na wameitangaza tena
kufika platinum kwa mara ya pili. So, now Magna Carta Holy Grail imeuza
zaidi ya copy millioni 2 na inapewa title ya “Multi Platinum Album”
No comments:
Post a Comment