| Blue Ivy Carter ndilo jina la mtoto huyu wa wanyamwezi hawa toka Marekani yanii
 
 nikimaanisha Jay-Z na Beyonce mrembo mwenye kipaji asilia.
 Hizi ni baadhi ya picha za Jay-z na mtoto
 wao Ivy akiwa anaonekana akizidi
 kukuwa kwenye afya tele licha ya
 siku za nyuma kuusishwa kuwa na
 matatizo ya moyo yaliyopelekea Mtoto
 huyo kutibiwa chini ya Uangalizi
 wa Madaktari Bingwa toka Ufaransa zaidi ya watano......
 
 Unajua walikuwa wanalipwaje....??
 Kaa nami hapa ntakujuyza kwenye makala ndani www.tonytz.blogspot.com
 | 
 
 | 
No comments:
Post a Comment