sasa madee aja na tema mate tuwachape.

msanii maarufu anaye wakilisha vyema kundi zima la tip top connection madee.
amesema  kuwa baada ya kutamba sana na nyimbo yake ya" nani kamwaga pombe yangu 
ambayo nikati ya nyimbo ambayo imempa mafanikio makubwa katia mziki wa kibongo
na sasa ametangaza kuja na ujio mpya yani kivingine kabisa na tema mate tuwachape.
Madee
rais wa manzese  madee amesema kuwa sio mda mlefu anategemea kuachia nyimbo yake  mpya masikioni kwa watu, yani tema mate tuwachape.endelea kutembelea www.tonytz.blog utafahamu zaidi.

No comments:

Post a Comment