walter chilambo ajibu mashambulizi kwa naye wa mitego

msanii wa mziki tanzania waltrer chilambo ambaye ametoka katika [ebss] mwaka 2012.
amesema kuwa kunahaja kubwa yakufikili kitu kabla hujakifanya
kuliko kukulupuka kufanya kabla ya kutafakali.
maneno hayo ameyasema walter chilambo baada ya kupigwa vijembe na naye wa mitego katika nyimbo
ya salamu zao, ambayo iliweza kuleta utata mkubwa katika masikioni mwawatu baada tu ya kuisikia.
baada tu yakuwapiga vijembe walter chilambo  pamoja na  watu wengi tofauti ambao wametajwa katika nyimbo hiyo ya semanao.walter amesema kuwa kiukweli sina bifu na naye wamitego lakini namshauli
asikulupuke kufanya kitu kabla ya kukifanya cobila kujua kitaleta pija gani mbele za watanzania.

No comments:

Post a Comment