(Photo's) Angali steji hii atakayopanda msanii FUSE ODG leo


Hii ndio steji ambayo kesho itatawaliwa na wasanii wengi kutoka Bongo pamoja na msanii FUSE ODG mwenye makazi yake kule Marekani. Wakati naitembelea jasna jioni ndio ilikuwa inamaliziwa maliziwa matengenezo ya mwisho.No comments:

Post a Comment