(Photo's) Maandalizi Kilimanjaro Music Tour Kahama


Kilimanjaro Music Tour 2013 weekend hii iko katika mji wa Kahama. Maandalizi ya mwisho kwa ajili ya tamasha hilo linalohusisha wasanii waliofanya vizuri mwaka 2012 yameendelea huku wakazi wa Kahama wakiwa na mwamko wa kushuhudia kutokana na tiketi kununuliwa kwa wingi toka jana. Wasanii wanaotarajiwa kupanda jukwaani ni Linex, Profesa Jay, Roma, Ben Pol, Fid. Q, Lady Jaydee, Izzo Bizness,
 
Barnaba na Recho. The Big Man Kim (DJ Kim) wa East Africa Radio akifanya sound check ya vifaa vya muziki.

No comments:

Post a Comment