H.BABA NA FLORAH WAPATA MTOTOmtoto wa H.Baba-2
Hatimae ndoa ya mastaa,H.baba na Frolah mvungi yajibu baada.ya  Frolah kujifungua mtoto wa kike waliyembatiza jina la TANZANITE..Teamtz inawatakia wanandoa hawa ,malezi mema kwa kiumbe huyu waliyepewa na Mungu.

No comments:

Post a Comment