MY NUMBER ONE YAMPA DEAL LINGINE,DIAMONDMusic unazidi kumlipa Diamond ameingia mkataba na kampuni ya mawasiliano ,Vodacom kuuza nyimbo ya number one kama mwito wa simu
ambapo utakachotakiwa kufanya ni kutuma neno DM kwenda 15577,na utaweza kuupata wimbo wa number one kwenye simu yako kama ring back call tune,lakini pia utaweza kujishindia Tsh.50,000.

No comments:

Post a Comment