GARI DOGO KULIKO YOTE HILI HAPA


Gari dogo kuliko yote (kulia).
-Lina kimo cha Sentimita 63.5
-Upana Sentimita  65.41
-Urefu Sentimita  126.47

Gari hilo dogo limeingia katika Rekodi za Dunia za Guinness 2014.
Lina kimo cha Sentimita 63.5, Upana Sentimita  65.41 na urefu Sentimita  126.47


Mvumbuzi wa gari hilo,  Austin Coulson  anaeleza kuwa watu wanapomuona katika kigari hicho wanadhani kuwa anakitumia kinyume na sheria maana kila mmoja hudhani kuna kipimo maalum katika utengenezaji wa gari.

No comments:

Post a Comment