EXCLUSIVE:IPATE NUMBER ONE KWENYE SIMU YAKO KUPITIA VODACOM NA UJISHINDIE TSH-50,000

Unataka nyimbo ya number one iwe mwito wako 
wa simu?unataka ndugu yako,rafiki zako na wote unaowapenda waiskie number one kila wakupigiapo?usijari,Vodacom Tanzania wanakupa access 
ya wewe shabiki wangu wa kweli kuupata
 wimbo wa number one kwenye simu yako,yani call tune,lakini pia 
kwa
 kufanya hivyo,unakuwa umejiweka
 kwenye nafasi ya kujishindia Tsh,50,000 kila siku.Sound good right?
so unachotakiwa kufanya,tuma neno DM kwenda 15577,My number one
 itawezeshwa kuwa muito wako wa simu.

No comments:

Post a Comment