@ RAZAK CLASSIC WEAR SINGIDA 89.7 FIESTA 2013 TWENZETU NOMA SANA

89.7Singida Fiesta 2013 AdamMchomvu akiwa pande za Singida ndani ya duka la Razak Classic Wear akifanya Hot 3 @ 3 Twenzetu Noma sana.

Shaffi Dauda.
Adam Mchomvu akipiga stories na mmilikiwa duka la Razak classic Wear Singida 89.7.
Mwenyekiti wa kamati kuu ya Fiesta 2013 Seba Maganga (Kushoto) na ShaffiDauda pande za Singida ndani ya Duka la Razak Classic Wear Singida FIESTA2 013 TWENZETU Noma Sana!!

No comments:

Post a Comment