Habari njema tena kwa wakazi wa Dar kwa mara nyingine tena wale wahandaaji wa Nyama Choma Festival wanakuletea tena NYAMA CHOMA FESTIVAL 2013 Itakayofanyika Viwanja vya Posta,Kijitonyama. wa kiingilio cha 7,000/= Tsh utaweza kuzama ndani na kufurahia kukutana na watu tofauti uweze kubadilishana nao mawazo na kujuana zaidi,Hii si ya kukosa mkazi wa Dar kuanzia Saa 4 asubuhi hadi jioni....Ukiona Habari hii mjuze na mwenzio..... |
No comments:
Post a Comment