Picha zaidi ya 20 za show ya Jose Chameleone kuanzia hotelini hadi kwenye stage.
.
Jana kwenye kiota cha Escape 1 katika 
mfululizo wa show za 3 in 1, aliperform Dr Mayanja a.k.a Jose 
Chameleone. Hizi hapa ni picha ya jinsi ilivyokuwa kuanzia hotelini hadi
 anapanda kwenye stage.
Interview na Clouds TV akiwa hotelini
Jose akitoa kionjo cha wimbo wake na mwingine ni Dj wake
Msafara ndiyo unaingia Escape 1
Jose akiongea na mmoja ya watu waliokuja naye kwenye msafara kutoka Uganda
Big boss Joseph Kusaga akiongea na mgeni wake Chameleone
Wadau wakiendelea kupata burudani
Dr Mayanja akielekea kwenye stage
Show ndiyo imeanza

























No comments:
Post a Comment