KUTANGAZA BIASHARA NASISI AU KUTUMA VIDEO NA AUDIO 0684 524265
Jinsi Diamond alivyofanya kweli kwenye show ya Eid mosi ndani ya jiji la Nairobi.
Diamond
Platinumz sikukuu ya Eid mosi na pili zote zimemkutia nchini Kenya
akipiga show mbili kali ambazo zilijaa watu wakutosha. Hizi hapa ni
picha za show yake ya Eid Mosi akiwa ndani ya jiji la Nairobi.
No comments:
Post a Comment