Home » » Video na Pichaz za hii Pub aliyoifungua Dudubaya Kinondoni Dar es salaam





Video na Pichaz za hii Pub aliyoifungua Dudubaya Kinondoni Dar es salaam


DSC_0510
Anaitwa Godfrey Tumaini au Dudubaya ambaye alitamba sana na kazi zake kadhaa akiwa na kundi lake la Dar Skendo likijumuisha watu kama Dogo Hamidu “Nyandu Tozi” na wengine.
Muda mrefu Dudu Baya alikuwa anafanya shughuli zake Mwanza na hivi karibuni amerudi Dar kwa ajili ya muziki na kazi zake nyingine, ukiachana na muziki Dudu Baya ameanzisha Pub yake inaitwa D n M iliyopo maeneo ya Kinondoni B.
Unaambiwa D n M ni kirefu cha Dudu Baya na Mary, ambapo Mary ndio mpenzi wa sasa wa Dudubaya ambapo kwenye Exclusive Interview na millardayo.com Dudubaya amesema Pub yake inakaribisha watu wote waende ku-enjoy na pia kupiga story za kimaisha sio kulewa tu, kupeana madili na kusaidiana kimawazo.

DSC_0473

Dudubaya akiwa na mpenzi wake wa sasa anaitwa Mary, Pub yao ipo Kinondoni B Dar es salaam.
2

DSC_0465



DSC_0477
DSC_0478

B n M Pub kwa nje
3

DSC_0480
DSC_0489

DSC_0497
DSC_0504
DSC_0506

No comments:

Post a Comment