LULU KUZIDUA FILAM YAKE MPYA FOOLISH EGE AUGUST 30.


 


BQWl05OCMAEZmNG

Elizabeth michael Baada ya muda mrefu washabiki wake wakiisubiri  Filamu yake iitwayo FOOLISH AGE sasa

kwa furaha tele anapenda kuwahabarisha washabiki wake kwamaba tarehe 30/ 8/2013 pale MLIMANI CITY HALL itakuwa ndo siku ya uzinduzi wa filamu hii .Katika uzinduzi huu Elizabeth Michael ( LULU) atasindikizwa na wasanii mbali mbali akiwemo mwandada comando LADY JAYDEE na band ya MACHOZI.HIYO.

No comments:

Post a Comment