NEWS:BIRDMAN & LIL WAYNE WAANDA AFTER PARTY YA MTV VIDEO MUSIC AWARD

Wanyamwezi toka mbele huko C.E.O Birdman na
 Leader wa Young Money Lil wayne

baada ya kuona baada ya tuzo MTV VIDEO  MUSIC AWARD kufanyika hii ni Exclusive after party itakayodondoshwa
 na wanyamwezi hao huku
ukitaka kudhuria party hii basi kama una  mpunga wa dola 500 waeza jumuika nao lakini kwa kununua ticket online na si  zaid ya watu 100 tu wa kawaida.
Tusibiri tuone kitakchojiri kwenye usiku huo mchambuzi wako ntakushushia hapa picha jinsi wanyamwezi watakavyo  dondoka ndani ya party hiyo....

No comments:

Post a Comment