Home » Ent. » Sikiliza sauti ya King Crazy GK akiongelea kurudi kwake wiki ijayo.Sikiliza sauti ya King Crazy GK akiongelea kurudi kwake wiki ijayo.


GK
Kama umesubiri sana sasa huu ndiyo ushahidi wa kurudi kwa Gwamaka Kaihula a.k.a King crazy GK. Sikiliza hapa maneno yake kwamba wiki ijayo anatoa ngoma mpya.

No comments:

Post a Comment