NEWS:KAMA UNAAMINI BLOG YAKO INAFANYA VIZURI.....BASI HII INAKUHUSU SANA

Vipengele vya Kushiriki na Sheria
Tafadhali soma vizuri. Mwaka huu tumebadilisha,
vipengele vya shindano letu na sheria ya
shindano letu. Kwa blog yako au blog unayotaka
 ipendekezwe tafadhali wataarifu
bloggers hao, hatutaki kushirikisha bloggers
 ambao hawataki kuhusishwa katika shindano hili.
 Sasa ili tujue kuwa blogger huyo
unayempendekeza amekubali au anajua
 kushirikishwa kwake katika shindano hili
mwambie alink blog yake katika shindano letu.


Jinsi ya kulink
1. Aandike post kuhusu shindano hili na
 kuwataarifu wasomaje wake katika post hiyo
 alinki kwetu...Tanzanian blog awards link. 


2. Kama blog unayoipendekaza hatafanya
hivyo blog yake haitashirikishwa


3. Unaweza kupendekeza blog katika
vipengele vingi upedavyo lakini katika
kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa
 kuipendekeza kwa wakati mmoja

mfano: Kwenye subject unaandika jina la
blog unayotaka kuipendekeza 

tanzanianblogawards.blogspot.com
Kwenye body ya email unaandika vipengele
 unayotaka blog hiyo ishirikishwe

Best Agriculture 
Best Beauty/Fashion Blog
etc etc 

4. Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka
 kuwasiliana na wewe kuhusu link ya blog
uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na
 tuma mapendekezo yako kwa hii hapa 
Email 

nomination@bloggersassociationoftanzania.com au tanzanianblogawards@gmail.com

5. Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni 
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe
 30/8/2013 saa 11:59pm saa za Africa mashariki


Vipengele 
Best Agriculture 
Best Beauty/Fashion Blog
Best Business Blog
Best Creative Writing Blog
Best Design/Graphic Design Blog
Best Educational Blog
Best Entertainments
Best Food Blog
Best General Blog
Best Inspiration Blog
Best Newcomer Blog
Best News Blog
Best Photography Blog
Best Political Blog
Best Religion Blog
Best Sports Blog
Best Technology Blog
Best Tots Blog (17 yr old and below)
Best Travel Blogs

No comments:

Post a Comment