TONY TZ
KUTANGAZA BIASHARA NASISI AU KUTUMA VIDEO NA AUDIO 0684 524265
HABARI ZA MICHEZO
Arsenal yaichapa Fenerbahce 3-0
Arsenal imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu michuano ya klabu bingwa ulaya baada ya kutandika Fenerbahce nyumbani 3-0
DRC yailemea Cameroon katika mechi ya CHAN
Timu ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeilaza Cameroon 1-0 na kuimarisha nafasi yake ya kufuzu kwa fainali ya CHAN
09:58 GMT
Stephane Mbia kujiunga tena na Sevilla
Mcheza kiungo wa klabu ya Queen Park Rangers Stephane Mbia, amejiunga na klabu ya Sevilla kwa mkopo
09:06 GMT
Manchester United na Chelsea zatoka 0-0
Chelsea na Manchester United zimekosa pointi baada ya kutoka sare tasa katika mchuano huko Old Trafford.
23:30 GMT
Manchester City yanyolewa na Cardiff
Hiki ni kichapo cha kwanza kwa Man City kumkaribisha meneja mpya wa Manuel Pellegrini katika ligi ya England.
25.08.13
Chelsea yaipokonya tonge mdomoni Spurs
Chelsea imekubali kulipa pauni millioni 30 kumsajiliwa kiungo mchezaji Willian kutoka klabu ya Urussi Anzhi Makhachkala.
23.08.13
Chelsea yapata ushindi wenye utata
Chelsea imepata ushindi wake wa wa pili baada ya kuifunga Aston Villa 2-1 katika mechi iliyogubikwa na utata.
21.08.13
Kombe la dunia,Tiketi zazidi kuuzwa
Zaidi ya tiketi milioni moja zimeuzwa katika mtandao ndani ya saa saba tangu FIFA itoe ruhusa
21.08.13
Nani ndani, Fenerbahce au Arsenal?
Arsenal kushuka uwanjani kuwavaa Fenerbahce bila Chamberlain.
21.08.13
Man.City yaonyesha mchezo bora
Klabu ya Manchester City yaonyesha ubora wake kuliko klabu zote zilizoanza mechi za msimu mpya.
20.08.13
Manchester City yainyuka Newcastle
Meneja mpya wa Manchester City Pellegrini amefurahia ushindi wake wa kwanza katika ligi ya England kwa kuifunga NewCastle 4-0.
20.08.13
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment