Mr T-Touch; UZA KILAKITU NAY WAMITEGO HUWEZI KUMILIKI STUDIO KAMA HII.

13743635_1573186266310923_1035653596_n 
producer huyo ambae amepitia katika changamoto mbalimbali za maisha ya mziki na hatimae kumiliki studio yake mpya, inayo julikana kama Touchez sound. mr T-Touch; haikuwa kazi lahisi sana kumiliki studio yangu binafsi japo swala hili lilikuwepo katika mipango yangu mikubwa ya mbeleni, yapo mambo mengi yalikuwa yakijitokeza ya kunikatisha tamaa lakini mimi sikukubali kushindwa. Namshukuru mungu kunisimamia hadi nimefanikiwa kumiliki studio yangu kubwa ambayo nay wamitego hata auze kilakitu hawezi kufungua studio kama hii.

13732069_154596038281078_1207408159_n         Mr T-Touch akipiga beat katika studio yake mpya.

13707218_1313239778703967_522128584_n usikubali kupitwa na kitu, kwa chochote tutafute 0684 524265.

No comments:

Post a Comment