Majibu ya Wema Sepetu baada ya kupewa ushauri kuhusu umri wake.


Hizi ni posts za mtoa ushauri na mshauriwa:-
WEMASEPETU2016
Zinduka shituka @wemasepetu umri unasonga mamaangu hakuna atakae kuja kukwambia wewe binti amka umri wako ndio huu achana na drama Fanya kazi kwanini MTU akutumie wewe ili afanikiwe embu nyanyuka unao mashabiki wengi wanaopenda kukuona unasimama mwenyewe hivi wewe kuwa na maisha ya private yasio husiana na kazi zako utawapa watu faida mpaka lini wote wanao kusupport wewe na mapenzi yako ni vitoto vidogo vizivyowaza kesho ya9 embu jiulize unao mafans wangapi hata lipstic zako awanunui @wemasepetu nini LIPSTIC hata show zako ukiandaa kokote pale awaji Viatu vyako awaulizi hata bei hivi u nawajua mashabiki zako ni wa aina gani hawatakufanya uendelee hata jina lako ni dalaja LA kuwapa watu lidhiki wewe faida yako matusi shituka msichana ANAE kupenda hato kubali kuona unaangamia why unapenda sana kuforcus na mapenzi kuliko kazi now wewe ungetakiwa uwe na shule restaurant Fulani duka hivi Leo hii unalidhika watu wakupangie mpenda huyu au kutoa maisha yako katika uhalisia kabisa zinduka zinduka@wemasepetu hao hawakupendi wanakupoteza ukipost biashara hata awacoment kitu watu wanao kupenda wanaonekana utakuja kujutia
Alichokijibu baada ya ushauri huo:-
WEMA SEPETU:- ”Naomba niseme kitu na nieleweke tafadhal, Sijawahi hata siku moja kwenda kwa hata mmoja wenu na kumgongea kuomba hata hela ya chumvi…. My life concerns me…. Na hata siku nikifa nakufa mwenyewe, Majibu kwa Mungu naenda kujibu alone…. Niacheni Jamani…. Nimechoka……! Jus leave me Alone…!!! Kama nakukera na maisha yangu basi usiyafatilie… Sio lazima….. Nisiheme sasa…. Naomba tafadhal kama mapungufu ni ya kwangu mimi na mimi mwenyewe sasa midomo inawatoooooooka as if nimeua mtu…… Niacheni bana….. Mi nafanya kile kinachoridhisha nafsi yangu maana sipendi kujikalfisha sasa nyinyi msofanya na nyie kinachowaridhisha mnasubiria nini…..Please baaaaana…. Spare me…… Mniache……..!!! Kwani nikitajirika mimi au nikiwa maskini wewe unapata faida gani… Jiulize kwanza hilo swali ndo uanze kutoa maneno yako….. Remember U also got ur life to live sooooo stop putting ur Nose into other’s Life…..#MyLifeMyRules…. Nakukera….? Sio lazima…. Sijaomba mtu… Ishini maisha yenu…. Silazimishi mtu na sijawahi lazimisha mtu kunisupport…. Kila mtu anafanya out of free will….!!! Ieleweke hio kwanza… Afu mengine yafate….. Nadhani Insta kwa leo inatosha…. Tuonane week ijayo maybe…..! ๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„ Gosh…!! Yall can really Turn a Person’s mood Upside Down Ey….!!! ๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„

No comments:

Post a Comment