TONYTZ.BLOG/Nick wa Pili ameirukia beat ya wimbo wa Fat Joe na Remy Ma, All The Way
Up kwa kuja na ngoma yenye ujumbe mahsusi, Role Model akiwa na Chin
Bees. Kwenye ngoma hii Nick anazungumzia jinsi ambayo wakati mwingine
role model wako anaweza kukupotosha kutokana na maisha yake. Usikilize
wimbo huo mkali hapo chini.
www.tonytz.blog
No comments:
Post a Comment