Music: Rich Mavoko – Ibaki Story www.tonytz.blog

imebaki storyTONYTZ.BLOG/Rich Mavoko ametambulishwa rasmi leo June 2 2016 kuwa chini ya lebo ya WCB inayosimamiwa na Diamond Platnumz, ikiwa ni saa kadhaa baada ya kutambulishwa Rick katuletea video mpya inaitwa ‘Ibaki Story’ ambayo imefanyika Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie na comment yako
www.tonytz.blog

No comments:

Post a Comment