Wema sepetu awa mtanzania wa pili kufikisha followers Million 1 kwenye mtandao wa Instagram

 
  Miss Tanzania mwaka 2006, Wema sepetu amefikisha idadi ya followers Million 1 kwenye mtandao wa Instagram.
WEMA SEPETU NOV 4, 2015

Wema ambaye amazindua brand yake mpya ya Lipshine ‘Kiss by wema sepetu’ ni mtanzania wa pili kufikisha idadi hiyo kubwa ya followers kwenye mtandao wa Instagram, wa kwanza ni Diamond Platnumz ambaye account yake ipo verified kabisa.
Watu wengine maarufu wa Tanzania ambao wanamfuata wema kwa kuwa na idadi kuwa ya followers ni Millard Ayo 928k, Jokate Mwegelo 889k, Jacqueline Wolper 853k na Vanessa Mdee 843k.

No comments:

Post a Comment