NEW MUSIC:JOBFIRE WA MELODY_NIMEKOLEA

MSANII JOBFIRE WA MELODY KUTOKA MOSHI MKOANI KILIMANJARO AMEACHIA RASMI TRACK YAKE MPYA KABISA IITWAYO NIMEKOLEA. MSANII HUYU MWENYE HARAKATI AMBAYE BADO HAJAFANIKIWA KUPATA MANEGEMENT AMESEMA KUWA ALIAMUA KUIPA NGOMA YAKE HII MPYA JINA LA NIMEKOLEA JAPO NGOMA HII 

IMEBEBA KIBWAGIZO CHA NENO NITAZOEA KWASABABU ALIONA TAYARI KUNA MSANII MWENZAKE AITWAYE MO MUSIC AMESHAACHIA NGOMA NA KUIPA JINA NITAZOEA HIVYO MSANII JOBFIRE WA MELODY AKAAMUA KUIPA NGOMA YAKE MPYA JINA NIMEKOLEA. NA KATIKA NGOMA HII MPYA YA JOBFIRE WA MELODY NI KWELI INAZUNGUMZIA MAPENZI YA AINA FULANI HIVI YANI YEYE HATA AFANYIWE NINI AMEKOLEA TUU. PIA JOBFIRE ALIMALIZIA KWA KUSEMA ANAZISHUKURU SANA MEDIA ZOTE NA WADAU WA MUZIKI KWA SAPORT MAANA ALIPOTOKA NI MBALI NA ALIPOFIKA NI KWA SAPORT ZA MEDIA NA WADAU WOTE WA MUZIKI. PIA AMESEMA KWA YEYOTE AMBAYE ATAKUWA TAYARI KUMSAPORT AU KUFANYA NAE KAZI ASISITE KUMTAFUTA KUPITIA NAMBA YAKE HII +255658151015 SAFI SANA NA HONGERA KWAKO KIJANA JOBFIRA WA MELODY KUTOKA MKOANI KILIMANJARO

No comments:

Post a Comment