Manchester United yaikalisha Tottenham ufunguzi Ligi Kuu England

MAN UTD (2)
Kiungo mshambuliaji wa Tottenham, Christian Eriksen kulia, akimiliki mpira mbele ya beki wa Manchester United, Matteo Darmian.

MAN UTD (3)
MAN UTD (5)
Beki wa Tottenham, Kyle Walker akitumbukiza bao kimiani katika harakati za kuokoa hTottehnam walifungwa bao 1-0.
MAN UTD (6)
Raha ya ushindi. Wayne Rooney akifurahia bao na Mephis baada ya Manchester United kupata bao dhidi ya Tottenham.
MAN UTD (7)
Wachezaji wa Manchester United, kutoka kulia Juan Mata, Wayne Rooney na Mephis Dempay wakipongezana baada ya kupata bao dhidi ya Tottehnam kwenye mchezo wa Ligi Kuu England iliyoanza kutimua vumbi leo. Man United ilishinda bao 1-0 lilifungwa na beki wa Totthenham, Kyle Walker aliyejifunga.
MAN UTD (8)
Kiungo mpya wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger kulia, akimpongeza Maichael Carrick wakati akiingia kuichezea klabu hiyo mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu England. Schweinsteiger ndiye mchezaji wa kwanza Mjerumani kuichezea Man United.
MAN UTD (12)
Straika wa Manchester United, Wayne Rooney kulia akifumua moja ya mashuti kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu England dhidi ya Tottenham. Man United ilishinda bao 1-0.
MAN UTD (13)
Kiungo mpya wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger ndiye mchezaji wa kwanza Mjerumani kuichezea Man United. Nyota huyo ametua klabuni hapo akitokea Bayern Munich ya Ujerumani.
MABINGWA  wa kihistoria wa Ligi Kuu England, Manchester United leo wameanza kampeni ya kusaka ubingwa wa ligi kuu nchini huumo kwa kuikalisha Tottehnam Hotspur bao 1-0, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Old Trafford majira ya saa 8:45.
Bao pekee lilifungwa na beki wa Totteham, Kyle Walker ambaye alijikuta akizamisha mpira wavuni katika harakati za kutaka kuokoa hatarini langoni mwao mbele ya Wayne Rooney ambaye alikuwa anajiandaa kuachia shuti.
Manchester United: Romero, Darmian (Valencia 80), Smalling, Blind, Shaw, Schneiderlin, Carrick (Schweinsteiger 59), Young, Mata, Rooney, Depay (Herrera 67)
Subs not used: Hernandez, McNair, Andreas Pereira, Johnstone

Booked: Schweinsteiger, Mata
Goals: Walker (own goal) 21
Tottenham Hotspur: Vorm, Walker, Alderweireld, Vertonghen, Davies, Dier (Alli 76), Bentaleb (Mason 52), Chadli, Eriksen, Dembele (Lamela 69), Kane
Subs not used: Lloris, Trippier, Wimmer, Carroll
Booked: Vertonghen, D

No comments:

Post a Comment