je unatambua kuwa ugonjwa wa saratani umepatiwa dawa? kutana na mtaalam wa tiba hii hapa chini.Saratani Kikaangoni...


Leo, mustakabali wa Graviola Matibabu ya kansa na nafasi ya kuishi inaonekana zaidi kuahidi kuliko milele! "Hii ilikuwa ni sehemu ya ripoti kutoka Taasisi ya tafiti za afya iliyotolewa barani Ulaya mnamo mwaka 2012. Ilikuwa juu ya mti ambao unazalisha matunda Graviola na matunda yake ambayo yanaweza kuleta mapinduzi duniani kuhusu matibabu ya kansa. Mti Graviola, au papai la Kibrazil, wengine huliita Sour sup tunda ambalo hujulikana na takribani Watanzania wote kama "Mtopetope" ni mti ambayo hupatikana kwa wingi sana maeneo ya Amerika ya Kusini, Afrika na kusini mwa Asia.
Kwa nini hatujasikia kama hii ni tiba mpya kwa ajili ya kansa hadi mwaka huu 2015? Au kwa nini mashirika ya habari hayazungumzii juu ya faida ya matibabu hayo na kuifanya Graviola ipatikane kwa kila "oncologist" katika hospitali zote kubwa nchini Tanzania na pengine isambae  Duniani kote? Wacha nikupe hadithi fupi na ya ukweli inayoeleza ni kwa nini hakuna makelele yoyote juu ya tiba hii ya ajabu na ni kwa nini mpaka leo tiba hii haipo wazi na wengi wanatibiwa kimyakimya?

Graviola ni tunda lenye umbo la moyo, lenye rangi ya kijani iliyofifia. Mara nyingi tunda hili limekuwa likiliwa tu au pengine limetumika kutengeneza juisi za aina tofauti huku wengine wakilitumia kama maji ya sharubati. Kwa mujibu wa tafiti za kisayansi zilizofanywa na makampuni ya kutengeneza madawa huko ulaya ni kwamba waligundua kuwa topetope lina uwezo wa kutibu saratani za aina zote lakini walipotafuta kilichomo ndani ya tunda hili kinachotoa dozi kwa maradhi haya ili kitumike kama jina ha kibiashara waweze kuuza dawa hiyo duniani kote walishindwa kujua ni kitu gani na mpaka leo hakuna ajuaye siri ya mtopetope katika maajabu ya tiba za saratani za aina zote. Hata hivyo, Walipoambiwa na wanasheria kuwa “Maliasili” ni mali ya Umma duniani kote na haina umiliki kwa sheria za nchi zote duniani iliwabidi wabwage manyanga, wakaitupilia mbali tafiti yao kimyakimya.

Walijikuta hawana namna yoyoye ya kuuza tunda hili kama dawa tena. Walijikuta wamefilisika kwa kutumia pesa nyingi bila malipo. Wakajikuta pia wamepoteza muda mwingi katika tafiti ambayo haikuwalipa. Hivyo kwa hasira waliamua kutoandika na kuitangaza ripoti ya tafiti hiyo wakiamini kuwa haitakuwa busara kwa wengine kunufaika na tafiti ambayo wao imewatia hasara. Hivyo tafiti zilitupiliwa mbali na mradi ukafungwa! Ila, mmoja kati ya watafiti hao alishindwa kujizuia. Akapingana na wenzie kwa kuichapisha taarifa hiyo kwa madai kuwa halikuwa jambo la ‘kitoto’ kugundua muuaji wa Saratani ambayo inatishia Dunia na ingekuwa aibu kama Dunia ingegundua kufichwa kwa siri hiyo. 

Dunia ina mwanamke mmoja mwenye saratani ya matiti katika kila kundi la wanawake nane. Hii si suala la kawaida. Mamilioni ya wanawake duniani kote wanateseka kwa maradhi haya ya saratani na inaua zaidi wanawake waliopo maeneo ya Amerika ya Kusini, Africa na Asia ya kusini ambako miti ya mtopetope imezagaa kwa kiwango cha kila mwanamke kushika mti mmoja wa mtopetope. Ni ajabu lakini ndio ukweli wenyewe. Saratani ya mapafu ni kilio kipya ambacho kinatafuna maisha ya mamilioni ya wake kwa waume duniani kuhu saratani za uzazi kama ‘tezi dume’ zikigusa mpaka maisha ya viongozi waandamizi Afrika. Mwaka jana tumeshuhudia Raisi Jakaya Kikwete akienda Marekani kufanyiwa upasuaji wa tezi hilo. Achilia mbali tezi dume bado kuna saratani za shingo za kizazi, ini, figo na matumbo kwa ujumla zote zinatishia maisha yetu Watanzania bila huruma.

Wengi wenye ufahamu juu ya mtopetope wameanza kula matunda haya kama sehemu ya lishe ili kujikinga na pengine hata kupambana na maradhi haya. Unaweza kujifanyia tafiti zako za kawaida sana na utaambiwa haya ninayoeleza hapa na kama utahitaji kujikinga au kutibu saratani basi tumia matunda, majani, mizizi na hata magome ya mtopetope na utapata matokeo mazuri katika muda mfupi tu. Ikumbukwe kuwa makampuni mengi ya madawa katika nchi za ulaya wameanza kutengeneza dawa za mtopetope toka miaka ya sabini (1970’s) na utazipata katika dawa ya maji, ya vidonge na hata majani yaliyokaushwa kwa jua hafifu ambayo ni teknolojia rahisi itakayotusaidia Watanzania kuisambaza kwa wagonjwa pembe zote za nchi kirahisi bila kuharibika.
Binafsi nimeshuhudia kesi nyingi na nzito za saratani za aina mbalimbali zikidhibitiwa kwa mtopetope bila madhara kwa mtumiaji kama vile kutapika, kupotyeza uzito, kunyoynoka nywele na madhara mengine yatokanayo na madawa makali pamoja na mionzi ya uchomaji saratani ambao ni tiba zilizozoeleka duniani.

Where To Buy Graviola as Melanoma Treatment


 Sina uhakika kama maelezo yangu ni wazi na  yameeleweka hapa. Hivyo mimi John Haule kwa unyenyekevu mkubwa nakaribisha simu, ujumbe, au hata barua pepe kutoka kwa mtu yeyote ambaye atakuwa katika mlolongo wa maswali, maoni au anaweza kuwa mtu mwenye hitaji la tiba na angependa kupata muongozo pia anakaribishwa kwa mikono miwili. Nawatakia maisha mema yenye afya tele watanzania wote, na nawapa pole zangu za dhati wote watesekao na maradhi ya Saratani duniani kote.

Karibuni sana HerbHunters.

John Haule MD.
HerbHunters Tanzania
+255 768 215 956

Soma pia hii ya Kiingereza…

Cancer in Frying-pan…
graviola-cancer-killer.jpg
Today, the future of Graviola Cancer treatment and chances of survival looks more promising than ever!” This was a quote of a report from the Health Science Institute released in Europe in the year 2012. It was about the tree which produces fruit Graviola and the fruit in particular can revolutionize what the world think about cancer treatment. The Graviola tree, or Brazilian pawpaw, others call it Sour soup and mainly known in all Tanzanians as “Mtopetope” is a tree that is found deep in Latin America, Africa and southern Asia.

Why haven’t we heard more about this as a new cure for cancer up to this year 2015? Or why isn’t every news publication talking about the benefits of this treatment and made widely available by every “oncologist” in all major hospitals in Tanzania and the rest of the World as well? Let me tell you a brief story as to why it didn’t make a loud noise then and why is still isn’t the miraculous treatment for cancer now and this is to say that it very well couldn’t be if we will not join together to shout for this…

Graviola is a ‘heart shaped’ fruit in a pale green colour. This fruit is very popular in different juices, sherbet, smoothies etc. According to the Health Science Institute and Pharmaceutical Company that discovered the miracle healing power of this fruit and its tree spent years in trying to isolate tow of the tree’s most powerful anti-cancerous ingredients but unfortunately for them they couldn’t replicate the original ingredients, so it was a reason for them to stop and leave this project. But, on the other hand, they found that Law always states that “Natural Substances” unfortunately cannot be PATENTED! You can’t sell it anymore from this ground.

Their fingers were ‘burnt’, bankrupted, and do you know a little about a waste of time? They sniffed, shut down the project and research. They looked unhappy and angry! So they did not published their findings. But one of the researchers in their group skipped their agreement and published it saying it was a ‘great deal’ to discover a cancer killer of the world and to remain silent was a ‘monkey business’ to the world.

We have 1 out of 8 women diagnosed with breast cancer. Millions of women are suffering around the Globe badly screwed in Latin America, Africa and Southern Asia where Graviola trees are widely spread unnoticed! A Lung Cancer is another cry from millions of men and women around the world while prostate cancer ‘Tezi Dume’ is screwing even our Top African Leaders like President Jakaya Kikwete of Tanzania who attended a surgery in US last year regarding this bad killing cancer. But never forget that there is a Pancreatic Cancers and Colon Cancer all are waiting for our lives around the corner of our lifetimes…

Some people have chosen to take the graviola dietary supplements and implement that as part of their treatment so if you are an individual in need of this cure is of course you do your research or consult you doctor because over past decades many companies have tried to look at the possible medicinal benefits it may have as far as attacking the cancer safely and leaving your health cells alone.. You just keep in mind that since 1970’s this fruit and its leaves, bark, and roots has been proven according to the research to be a potent cancer killer but like previous said no double blind clinical trial which are used to judge the value of treatment were even initiated. Here is where the PROBLEM lies and it may take us a while until we know if Graviola is in fact a cure for all types of cancer.

 Where To Buy Graviola as Melanoma Treatment

Myself, I have witnessed a chain of cancer cases been treated by graviola to permanent curative measures without side harm like extreme nausea, weight loss, hair loss, and other effects which are mainly occurs on most of chemotherapy treatments and drugs. To say the few, Graviola is now widely classified as an herbal supplement in most European countries which you can find it in form of extract, tablets and sun dried leaves the technology which I try hard to exercise in Tanzania so we can end the threat of Cancer in our country and may be to the rest of the world. I am not sure if my explanation is clearly understood here. So I invite calls, messages, or even emails from anyone who will be in chain of questions, comments and may be someone will be in need of guide to this miraculous treatment. You are most welcomed…

John Haule MD.

HerbHunters Tanzania

+255 768 215 956        

Fikisha ujumbe huu kwa wote uwapendao hasa email address zote na phonebook zote ili kuharakisha hii taarifa ifike mapema!

No comments:

Post a Comment