KWA SASA PESA SINA NDIO HABARI YA MJINI KATIKA USAMBAZAJI WA KAZI ZA WASANII.

 KWA SASA PESA SINA NDIO HABARI KUBWA YA MJINI KWA KUSAMBAZA KAZI
 MBALI MBALI ZA WASANII WA TANZANI NA NJE YA NCHI. 
NA KWA SASA PESA SINA AMEANZA KUMSIMAMIA MSANII CHIPKIZI ANAYE FAHAAMIKA KAMA  MURASS CHINI YA MR T TOCH NA SOLOMON LAMBA CHINI YA SEDUCTIVE RECORDS. NA HIVI KARIBUNI VIDEO YA MAMA MKWE ITAKUWA MTAANI KWAKO HIVI KARIBUNI, ENDELEA KUTEMBELEA TONYTZ.BLOG UTAFAHAMISHWA KINACHO ENDELEA,  AU  KWA MAWASILIANO NAO ZAIDI CHEKINAO KWA pesasina@gmail.com.
 NA HIZI NIBAADHI YA PICHA ZILIZO PATIKANA KATIKA MAANDALIZI YA VIDEO YA MAMA MKWE.

 BI MWENDA AKIFANYA YAKE KATIKA VIDEO YA MURASS AKICHEZA KAMA MAMA MKWE.

No comments:

Post a Comment