IMEBAKI SIKU MOJA TU, ILI MURAS AIACHIE VIDEO YAKE YA MAMA MKWE.


 MPAKA SASA IMEBAKI SIKU MOJA TU, ILI MURAS AIACHIE VIDEO YAKE MPYA
YA MAMA MKWE.VIDEO YA MAMA MKWE NI VIDEO AMBAYO ILIKUWA IKISUBILIWA KWA HAMU SANA KUSHINDA VIDEO ZOTE, KUTOKANA NA UJUMBE MKUMBWA AMBAO UPO KWENYE AUDIO NDIO UMEWAVUTIA WATU WASUBILIE VIDEO KWA HAMU SANA. MSANII MURAS KWA SASA ANASIMAMIWA NA SEDUCTIVE RECORDS CHINI YA PROD.MR. T TOUCHEZ CHINI YA DIR.SOLOMON LAMBA+ MARIJAN MSOLA.

No comments:

Post a Comment