
KWA wale waliokuwa wakichongachonga wanayoyajua wenyewe, watakuwa wameumbuka sababu staa wa sinema za kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameanza kupata mwili kama zamani.

“Mazoezi ndiyo kila kitu katika mwili wangu, hayo wanayoyasema watasema lakini mimi ni msanii najua namna ya kuutengeneza mwili wangu kadiri ninavyotaka,” alisema Ray.
No comments:
Post a Comment