Home » Ent. » Mr Blue kuachia wimbo mpya leo

Mr Blue  ameachia wimbo mpya leo

blueMr Blue ambaye mwaka huu ameshatoa ngoma kama “Nipende”, leo mchana anatarajia kutoa ngoma yake mpya inaitwa Pesa. Mr Blue ambaye pia ni baba wa mtoto mmoja mara nyingi amekuwa ni mtu wa kutoa wimbo mmoja na kukaa muda mrefu kidogo kabla hajatoa wimbo mwingine. Lakini wakati huu imekuwa ni tofauti kidogo kwani si muda mrefu sana tangu atoe Nipende. Usikose ku-download wimbo huo  baadae kidogo hapahapa.

No comments:

Post a Comment