| Kutoka majuu uko ,Jumatat ya leo nakudondoshea Audio mpya ya Producer nguli nchini Marekani
 na dunia,hapa namzungumzia Swizz Beat akiwa
 amewashirikisha Member wa Young Money
 Nicki Minaj & Lil wayne uku akizidi fanya unyamwezi
 na Boss wa MMG Rick Ross na Mwanamuziki
 anaefanya vizuri kwa sasa 2Chainz,kuwa wa kwanza kusikiliza hapa.
 | 
No comments:
Post a Comment