Hivi ndiyo show ya Fiesta Singida na semina ya Fiesta fursa ilivyokuwa
Serengeti
Fiesta iliwakutanisha wakazi wa Singida jumapili hii kwenye show kubwa
ambayo kama kawaida ya Fiesta ilikuwa na list ndefu ya wasanii. Kabla ya
kila show ya Fiesta mwaka huu, kunakuwa na semina ya fursa. Singida nao
walipata nafasi ya kushiriki kwenye semina hii. Vyote hivi viko hapa.
Umati wa wananchi wa Singida

Linah na Amini wakiitumia stage vizuri

Anaitwa Abdu Kiba
Style za kutosha kwenye Serengeti Fiesta

Peter Msechu
Baadhi ya wanancgi waliofika kwenye semina ya Fursa

Mtu wako wa nguvu nilipata nafasi ya kuongea na wananchi kuhusu mambo ya fursa

Baba Levo alikuwa mmoja kati ya wazungumzaji kwenye semina ya fursa

Mr Ruge Mutahaba akitoa maneno ya busara kwa wananchi wa Singida kwenye semina ya Fursa
Mwakilishi wa NSSF akiongea kwenye semina ya Fursa

No comments:
Post a Comment