Hemedy azungumza baada ya kupata Ajali iliyotokea jana
Msanii wa muziki na filamu hapa Tanzania Hemed PHD baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia jana maeneo ya Kijitonyama akiwa anarudi nyumbani na kuumia kwenye paja na kifuani ambapo staring ilimbana,kwa sasa yuko hospitali anapata matibabu.
Leo kupitia kwenye akaunti yake ya instagram aliwashukuru wale wote waliomwombea dua na kwa sasa anaendelea vizuri na matibabu, hiki ndicho alichokiandika 'ASANTENI SANA KWA DUA ZENU KUNIOMBEA, NIKO HOSPITALINI NAENDELA VIZURI ILA NI MAUMIVU MAKALI KIFUANI, DATS ALL.. ENDELEENI KUNIOMBEA NPONE HARAKA... *INSHALLAH*

No comments:

Post a Comment