CHECK HAPA CHINI PICHA KARI ZA NYUMA YA RENZI KATIKA VIDEO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ ANAYOSHOOT KWA SASA HUKO AFRIKA KUSINI.

dd5ff8c8fdce11e2aa0322000a1fa408_7


msanii maarufu tz anayekubalika na watu mbalimbali katika ulimwengu wa mziki wa kizazi kipya diamond platnumz, kwa sasa yuko kikazi na kimasomo afrika ya kusini. nampaka sasa huko afrika kusini, ameanza kushoot video yake mpya ambayo mpaka sasa bado haijafahamika jina la nyimbo yake hiyo.
0b54d01efdd411e2bd3c22000ae90db5_7

0f7a71cefdef11e2999e22000a1f8afc_7

bef82682fdd111e2a8b522000a9f3cba_7
nakumbuka mala ya mwisho alizungumza nami kwa njia ya simu nilipokuwa nikiandaa kipindichangu 
kinacho frusha live katika kituo cha radio nurufm iringa,
 Diamond platnumz alisema kuwa yeye anawaonea huluma sana wasanii wa mziki mbali mbali wa tanzania
 hasa wasanii wa mziki wakizazi kipya wanaoleta mzaa kwenye game, alisema kuwa yeye alisha anza kufanya mziki wakimataifa au alizamilia kufanya mziki wakimataifa toka mda mrefu lakini sasa anafikili kuwa niwakati wake wakuufanya mziki utakao itambulisha tanzania kutoka na kitu anacho kifanya katika mziki wake. na alimalizia swala kutofanya video za bei rahisi au za ghalama nafuu zaidi pamoja na kufanya show za bei yachini kabisa kwani zinashusha kiwango na heshima ya mziki wakitanzania.>> mwandishi  tonytz 0718 922425

No comments:

Post a Comment