Video:Chris Brown akanusha tuhuma za kufanya uharibifu Ibiza,adai tukio hilo lilipangwa.

KUTANGAZA NASI, KUTUMA VIDEO NA AUDIO 

0684  524265


Mnamo siku ya ijumaa (Jully,1),mtandao maarufu wa habari za udaku wa TMZ uliripoti taarifa iliyodai kuwa mwanamuziki Chris Brown akiwa na marafiki zake walifanya fujo na uharibifu ndani ya moja ya hoteli kwenye fukwe za Ibiza ambapo inadaiwa Breezy na wenzake walimwaga pombe vitandani na kuvunja baadhi ya samani ikiwa ni siku chache tangu mwanamuziki huyo alipofunguliwa kesi na Suge Knight huku msemaji wake akijiuzulu kazi kwa tuhuma za kumdhalilisha.

Chris Brown Calls Out Ibiza Villa Landlord For Concocting "Urine & Vomit" StoryKatika kipande cha video kilichopostiwa na mwanamuziki huyo,kinamuonesha akikanusha madai hayo na kudai kuwa video hiyo alirekodi dakika kumi kabla hajaondoka kwenye jengo la hoteli hiyo kuelekea airport na kuongeza kuwa hakukua na fujo zozote wala uharibifu bali wahudumu wa hoteli hiyo walijaribu  kujitengenezea fedha kwa kuzusha taarifa hizo ambapo inadaiwa mwanamuziki huyo na marafiki zake walituhumiwa kufanya uharibifu unaokadiriwa kusababisha hasara ya kiasi cha $60,000.
“See this house just so y’all know we ain’t no dirty ni**as,”…..“We ain’t f**kin’ no shit up. So, if y’all see some bullshit on TMZ, them saying ‘Chris Brown and them trashed the house,’ or whatever, that’s the people, the landlords trying to get money.”.Alidai Chris Brown.
Katika video hiyo,Breezy anaonekana akitembea ndani ya jengo ambalo haijafahamika kama kweli ndilo jengo la hoteli hiyo iliyopo kwenye fukwe za ibiza huku akiporomosha matusi kwa watu anaodai wamekua wakichafua jina lake na kuongeza kuwa ingawa polisi hawakuhusika moja kwa moja kwenye tukio hilo ila anamini mpango huo uliandaliwa ili kumdhalilisha.
Chris Brown
“This is exactly why I recorded all these videos in the house,” …..“And this was probably 10 minutes before we left to go to the airporth,”….“It’s f**king petty and unnecessary,”…… “It’s unprofessional. I don’t conduct myself like that. We turn up. We have fun. We not no f**king animals, bro.”.Aliongeza Breezy.

No comments:

Post a Comment