TONYTZ.BLOG

 
 
Kamanda
 wa Polisi mkoa Singida Thobias Sedoyeka amethibitisha kuwa ajali ya 
basi T 531 BCE likitokea Dar es salaam kwenda Kahama na T 247 linattoka 
Kahama kwenda Dar es salaam yote ya kampuni moja CITY BOYS yamegongana 
uso kwa uso na kuuwa abiri abiria wengi papo hapo na kujeruhi wengine.
No comments:
Post a Comment