KONA YA STAR; JE KWA HAPA BONGO HARAKATI ZA Lili Wain UTAMFANANISHA NA NANI???

 
 Lili Wain nikati ya wasanii au mastar ambao wamepitia changamoto mbalimbali za maisha ya kawaida na maisha yamziki pia,nimmoja ya wasanii ambao wamepitia skendo mbalimbali ambazo zimemfanya atoke sehem moja kwenda hatua nyingine.Je???? kwahapa nyumbani tanzania utamfananisha na msanii gani????


No comments:

Post a Comment