Watu wengine 130 wamejeruhiwa vibaya katika mashambulio hayo yaliyodaiwa kutekelezwa na kundi la wanamgambo wa Kiislamu la Islamic State.
Bomu la pili lililipuka baadaye kaskazini mwa mji wa Baghdad.
Milipuko hiyo inatokea wiki moja baada ya wanajeshi wa Iraq kuukomboa mji wa Fallujah kutoka kwa Islamic State.
Kundi la Islamic State limedai kuhusika kwenye mashambulio hayo.Milipuko hiyo inatokea wiki moja baada ya wanajeshi wa Iraq kuukomboa mji wa Fallujah kutoka kwa Islamic State.
Credit: TUNAKUPAKIKI.BLOG
No comments:
Post a Comment