TONYTZ.BLOG/Baada ya kufanyika kwa mashindano ya Ndondo Cup
kufanyika kwa mafanikio mwaka 2015, good news ni kuwa mashindano hayo
yanazidikukuwa siku hadi siku, Clouds Media na Azam Tv wameingia
makubaliano ya kurusha matangazo mechi hizo Live, makubaliano hayo
yamefanyika na kusainiwa na mkuu wa vipindi wa Clouds FM Shaffih Dauda na mkurugenzi wa Azam Media Ltd Rhys Torrington.
No comments:
Post a Comment